Mama Mjamzito 1.1.7 APK

Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimuyamama mjamzito. Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimbanahatimaye kujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwakinayanayohusu uzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtotokwauharaka zaidi na jinsia uitakayo.

Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababisha ukakosakushikaujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa. Utakuwa nauwezowa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapata ushauri juu yaafyaya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.

App Information