1.1.7 / July 29, 2016
(3.5/5) (2)
Loading...

Description

Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimu ya mama mjamzito.Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimba na hatimayekujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwa kina yanayohusuuzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtoto kwa uharaka zaidi najinsia uitakayo. Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababishaukakosa kushika ujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa.Utakuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapataushauri juu ya afya ya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.

App Information Mama Mjamzito

 • App Name
  Mama Mjamzito
 • Package Name
  com.phonegap.mamamjamzito
 • Updated
  July 29, 2016
 • File Size
  3.8M
 • Requires Android
  Android 2.3.3 and up
 • Version
  1.1.7
 • Developer
  Baraka Oscar Mung'ong'o
 • Installs
  1,000+
 • Price
  Free
 • Category
  Health & Fitness
 • Developer
  P.O.Box 10532, Dar es Salaam, Tanzania.
 • Google Play Link

Baraka Oscar Mung'ong'o Show More...

Vunja Mbavu 4.0.9 APK
Kiswahili:Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezeshawatumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingizilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kuchekahuleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi yatiba kwa binadamu.Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyovinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo lakufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma aukuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi aumatusi.Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni,picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programuhii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho.Aidhakuna:VichekeshoViojaKatuniMakalaSimuliziSiasaJamiiPichaVideoEnglish:VunjaMbavu is an application which allows users to search and read jokeswritten in Swahili language. We believe that laughing can haveimpact into happiness living and we believe that laughing is morethan medication to stressed people. Vunja Mbavu app has acollection of different jokes which can make anyone laugh and havefun. The good thing is; Vunja Mbavu is for everyone even familyjokes because we regulate abusive languages and we believe anyonecan laugh without hearing abusive words.These jokes are in form oftexts, cartoons, pictures, audio, animations and videos. This givesusers a wide range to entertain themselves into different forms ofmultimedia elements.
Majanga Tupu 5.0.8 APK
Kwa habari motomoto, mikasa, vituko na matukio ya kusisimua.Tembelea Majanga Tupu kila siku ili uhabarike. Majanga Tupu niprogramu ya sikanu na rununu ambayo inakuwezesha kuwa wa kwanzakupata habari mbalimbali. Zimo:Makala za kusisimuaMikasa yakutishaViojaHabari za KisiasaHabari za KijamiiMaarifaAfyaPichaVideoNafasi za KaziTembelea programu hii kila siku ujifunze mambo mapya.
Mama Mjamzito 1.1.7 APK
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimu ya mama mjamzito.Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimba na hatimayekujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwa kina yanayohusuuzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtoto kwa uharaka zaidi najinsia uitakayo. Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababishaukakosa kushika ujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa.Utakuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapataushauri juu ya afya ya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.
Loading...