1.0 / October 1, 2016
(5.0/5) (4)
Loading...

Description

Tired of typing texts? if yes, then this app is good for you justspeak what you want to type and let the app type for you (thenshare the texts to any application in your phone).

App Information Typing by speech

 • App Name
  Typing by speech
 • Package Name
  appinventor.ai_alasmy9.TypingBySpeech
 • Updated
  October 1, 2016
 • File Size
  3.0M
 • Requires Android
  Android 2.3 and up
 • Version
  1.0
 • Developer
  Mahmoud Al-Asmi
 • Installs
  100+
 • Price
  Free
 • Category
  Tools
 • Developer
  POX 2736 postal code 111 Seeb Oman
 • Google Play Link

Mahmoud Al-Asmi Show More...

Sikiliza Quran Kwa Kiswahili 1.0 APK
Sikiliza Qur'ani Tukufu.Qur'ani, Maana yake na Maeelezo kwa Kiswahili.Tarjuma ya Al Muntakhab.Katika Tafsiri ya Qur'ani Tukufu.
Majina Mazuri Ya Allah 1.0 APK
بسم الله الرحمن الرحيمKwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa RehemaMwenye KurehemuMwenyezi Mungu S.W.T. katuamrisha sisi Waislamukatika Kitabu Chake, Qurani Tukufu, tumuombe kwa kutumia majinaYake. Kama alivyosema katika Suratil Israa aya ya 110, “ قُلْادْعُوا اللَّهَ أَوْ ادْعُوا الرَّحْمَانَ أَيًّا مَا تَدْعُوافَلَهُ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى… Maana yake, “Sema: “Mwombeni Allah(Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jinalolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri…” PiaMwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil A`araaf aya ya 180, “وَلِلَّهِ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى فَادْعُوهُ بِهَا وَذَرُواالَّذِينَ يُلْحِدُونَ فِي أَسْمَائِهِ… Maana yake, “Na MwenyeziMungu ana majina mazuri mazuri; muombeni kwayo. Na waache walewanaoharibu utakatifu wa majina Yake…”
Kinga ya Muislamu 1.0 APK
 بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيمKwa Jina La Mwenyezi MunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu(Akhera) UTANGULIZIHakika sifa njema zote ni za MwenyeziMungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah,tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ya matendoyetu. Anayemuongoza Mwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, naAnayempoteza, hapana wa wa kumuongoza.  Nakiri kwamba, hapanaapasaye kuabudiwa ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hanamshirika, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na niMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zake naMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka siku yamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi.Baada ya yaliyotangulia huuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIM MINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH”Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwa majinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hii kuwa,imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zake Mwenyezi MunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, na baada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, au aliyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika  Yeye  Mwenyezi MunguNdiye  Muweza.Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetu Muhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake na wanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
Nyiradi 5 APK
Nyiradi za asubuhi na jioni, Dua kutoka Quran Tukufu na maana yake(kwa Kiswahili), Majina ya Allah mazuri na maana yake, SalaaIstikhara, Dua ya safari na dua zingine.........
Hadith 40 za Mtume saw 1.0 APK
Hadith 40 za Mtume saw kutoka kitabu cha Imam Anawawi na maana yakekwa Kiswahili.
Quran in Swahili 1.0 APK
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMUQur'aniTukufuTarjuma ya Qur'ani Tukufu Kwa KiswahiliTranslation of TheHoly Qur'an to Swahili LanguageBy Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Dua na Adhkaar za Muislamu 1.0 APK
Dua na Adhkaar za Muislamu anazo hitajia kila siku.
Loading...